Chai ya Jioni - by
Wakati tunywapo chai hapa upenuni
/ Na kuwatazama watoto wetu
/ Wakicheza bembea kwa furaha
/ Tujue kamba ya bembea yetu
/ Imeshalika na imeanza kuoza
/ Na bado kidogo…
Wakati tunywapo chai hapa upenuni
/ Na kuwatazama watoto wetu
/ Wakicheza bembea kwa furaha
/ Tujue kamba ya bembea yetu
/ Imeshalika na imeanza kuoza
/ Na bado kidogo…